humph the GREAT
Mheshimiwa makamu raisi Samia suluh hasan yupo katika ziara mbalimbali nchini ambapo anatembelea na kukagua miradi mbali mbali ya jamii lakini pia kuwatembelea na kuwasalimia wananchi wake, katika ziara yake mkoani Iringa alifika mpaka wilaya ya mufindi ambapo alikutana na wananchi wa sehemu hiyo na kuongea nao kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi unaoendeshwa chini ya usimamiz wa kiwanda cha karatasi cha MPM kilichopo wilaya ya mufindi katika kijiji cha mgololo, mradi huo ni mradi ambao unaendeshwa na kusimamiwa na mwekezaji huyo bwan Rai ambaye ndio mwenyekiti wa makampuni yote ya rai group, mradi buo ni kujenga maabara ya sayansi na maabara ya komputa katika shule ya sekondari Mgololo, mbali na hivyo bwana rai ameiomba serikali kwa kuwa amechukua mradi huo na nimradi unaoenda vizuri lkin pia amechukua tenda nyingine ya kujenga mabweni ya wanafunzi mahali hapo, licha ya kuwa mradi huo umegharaimu kama kiasi cha milion 310 mpaka sasa ikiwa inakadiriwa mradi huo utagharimu zaid ya milioni 450 za kitanzania, lakini pia mhe. Makamu wa rais katika ziara yake hiyo aliongoza na wenyeji wake ambao ni mkuu wa mkoa bi. Amina masenza na mkuu wa wilaya bwana willium jamhuri.

Tags
HABARI