humph the GREAT
Mbunge wa Arusha mjini kupitia tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) ahoji kuhusu bajeti ambayo imewekwa au imetengwa na bunge kwa ajili ya matibabu ya wabunge, akidai kuwa ni wabunge wa chama cha mapinduzi (CCM) pekee ambao bunge lina watambua katika mchango wa kutunga sheria na sera ambazo zinachangia kww kiasi kikubwa katika maendeleo ya bunge na nchi kwa ujumla, kwani ni wabunge hao pekee ambao wanaitumia vilivyo pesa za bunge na za serikali katika matibabu yao licha ya kuwa Tundu lissu mbunge wa singida kupigwa risasi na kulazwa kenya kwa miezi kadhaa kabla hajaenda ubelgiji kwa matibabu zaidi fedha ambayo imetumika ni fedha ya wabunge wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) na michango ambayo imetokana na wananchi ambao ni asamalia wema, lakini kwa upande mwingine spika wa bunge ambaye yupo nchini india kwa ajili ya checkup anafanya yote kwa fedha zinazotokana na bajet ya bunge
Godbless lema

Tags
HABARI