Mgololo: biashara zafungwa ujio wa makam wa raisi

humph the GREA
Katika kuwa na ziara mbalimbali mkoa wa iringa leo siku ya jumapili ilikuwa ni siku ambayo mheshimiwa makam wa raisi kufika katika kiwanda cha karatasi cha Mgololo na kufungua baadhi ya miradi ya kijamii,  mbali na hivyo kumekuwa na tafran kubwa kwa wafanya biashara hao ambao wamelalamika kuwa sio haki kwao kufungiwa biashara zao...  Mbali na hivyo wanachukuliwa kinguvu kwenda kwenye mkutano huo..







 haya ni machache kati ya maduka mengi yaliyofungwa

  
Baadhi ya wafanya biashara ambao wamefungiwa biashara zao

 
Moja ya askari mgambo akiwaelewesha wafanya biashara

 
Abaadhi ya askari mgambo waliokuwa wanawasimamia watu kufunga maduka. 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post