Sallam Sk Amuepushia Shari Ruge Baada ya Kusaga Kuingilia kati. Asema 'Tumekataa Kuwa Kaa'
Sasa basi, Sallam SK ameamua kubaki kimya baada ya Joseph Kusaga kumuombea msamaha mtesi wa wasanii ambaye ni Ruge Mutahaba. Pia ametahadharisha kuwa hawawezi kuwa kaa #TumekataaKuwaKaa
Sallam SK ameyaandika haya katika ukurasa wake wa Instagram,
Nanukuu
'Kwa Heshima ya Joe Kusaga kukuombea msamaha kwa leo Bw Ruge Mutahaba naamua kukusitiri, ila ukiendelea kuyafanya ambayo unayafanya basi nitayaanika maovu yako yote unayoyafanya kwenye Industry ya muziki. WCB haina tatizo na media yoyote na wala haina tatizo na Clouds Media Group ila huyu Ruge Mutahaba ndio mwenye tatizo #TumekataaKuwaKa
Mkurugenzi wa vipindi Clouds media, bwn Ruge mutahaba
Tags
Udaku

