WASANII kutoka label ya WCB, Lavalava, Hamonize, Rayvan na Rich Mavoko leo wamefanya shoo kali wakati wa kutambulishwa msanii Maromboso (Mbosso) kwenye viwanja vya Mwembe Yanga baada ya kuwa msanii mpya wa label hiyo. Awali Mbosso alikuwa ni msanii kutoka kwenye kundi la Yamoto Band.
0 Comments