Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Penzi la shemeji sehemu ya 05

humph the GREAT
 
Ilipoishia

Wakati maongezi yanaendelea simu yangu ikaita kuiangalia nikaona ni baba anaepiga nikapokea
"Hallow? "
"Ee ray fanya haraka urudi nyumbani sasa hivi"
"Usiku huu baba kuna nini"
"Yaani haraka kuna tatizo hapa"

Endelea nayo.. 

Basi baada ya kusikia hivyo kiukwel nilichanganyikiww sana na nikaamua kuondoka fasta na kurudi nyumbani usiku uleule japo nilikuwa naendesha gari kwa mawenge sana ila nilifanikiwa kuingia nyumban wakati nikiwa na nina uwoga sana, nilipofika nyumbani kwq mbali niliona magari mengi sana na watu wamejaa sana ndipo na mimi nikapaki gari langu na taratibu kusogea nyumbani hapo na kukutana na baadhi ya wageni wakiniangalia kwa huzuni sana hadi mwenyewe nikaanza kuogopa wote wakiwa wanageukageuka kunipisha wakati nikizidi kuwa na wasiwasi kutaka kujua kuna tatizo gani ambalo limetokea nyumbani hapo macho yangu yote yakiwa na shauku kubwa la kuwaona baba na grace wako natatizo gani lakini mbaya zaidi sijui ni nani ambaye ana tatizo kwa kweli moyo ulikiwa unanilipuka kwa woga aise, na hatimaye nikaufikia mlango wa kuingia ndani na nikaufungua taratibu na nikaeleka sebuke kubwa bado kuendelea kuwaona atu jinsi walivyojipanga wakati nasogea ni kama wananiposha ili nione kilichotokea, nilipofika sebuleni watu pia wakaendelea kunipisha kuelekea ghorofa ya juu ndipo nikazidi kuchanganyikiw na kutaka kujua ni lipi hasa ambalo limeikumba familia yangu na huku kwa mbali machozi kama yananilengalenga nilipomaliza kuzipanda ngazi za kupandisha ghorofa ya juu watu bado wananipisha kuelekea sebureni nanilipofika sebuleni nilisikia sauti ya baba kama akilalamika ndipo nikatoka kwa spidi hadi valandani ni velanda la juu ambalo lipo upande wa juu na ukiwa kule tuliko mimi na baba kila mtu aliyeko huku chini anatuona vizuri, nilipomsogelea baba aliponiona akaja huku akilia na akanikumbatia kwa huzuni huku akiendelea kuangalia saa yake.. 
"Baba kuna nini? "
"Mwanangu hiii iiii a.. A f...adha..li ume...umekuja" aliongea baba kwa shida sana
"Kuna nini baba mbona sielewi"
"Subiri"
"Grace yuko wapi kwani? "
"Yupo ndani anakuja"
"Sasa baba si uniambie kuna nini mbona mnanitisha hivyo jamn" nilibaki nalalamika peke angu hakuna mtu aliyekuwa akiniangalia wala kunijibu

Hapo ndipo nikazidi kuchanganyikiwa aloo maana baba namuona ila sijui ana tatizo gani na grace sijamuona kila nikitaka kumuona grace watu wananizuia mara simu ikaita kuangalia jina nikaona ni namba ngeni nikaipokea na kukaa pembeni kidogo kujua ni nani? 

"Haloo! "
"Eeh mambo"
"Pow vipi? "
"Samahani sijajua naongea na nani? "
"Mi asiah, niambie"
"Samahani nitakucheki baadae"
"Sawa ni namba yangu hiyo"

Baada ya kumaliza kuongea na asia kwa simu nilirudi nilipokuwa nimemuacha baba na sikumuona tena baba pale alipo kuwa amekaa ndipo nikazidi kuchanganyikwa na ghafra umeme ukazima nikaanza kusikia vicheko vya watu kutoka ndani na nje ya nyumba hapo nikaona kama giza kichwani mwangu na macho yakawa mazito nikajiona kama naelea hewani hivi huku miguu imekufa gazi, nakaona naonana na watu wa aina tofauti tofauti baadae ukimya ukatanda kila kona na nikiwa peke angu sielewe ni wai nilipo ninapoelekea wala ninapokanyaga, ghafra ukapita mwanga mkali machoni kwangu... 

Itaendelea... 

Post a Comment

0 Comments