Raisi piere achezew rafu uwanjani

humph the GREAT
Afungwa Jela kwa Kosa la Kumchezea Rafu Rais Uwanjani
Watu wawili ambao wamefungwa jela baada ya kumchezea vibayaRais Pierre Nkurunziza katika mchezo wa mpira wa miguu uliomshirikisha Rai huyo wa Burundi.
  
Rais Nkurunziza ambaye pia ni anasali katika Kanisa la Evangelical Christian hupenda kusafiri na Timu yake ya mpira wa miguu ya Haleluya FC pamoja na Kwaya  iitwayo “Komeza Gusenga”
Timu ya Rais Nkurunziza ilikuwa ikicheza na timu nyingine kutoka Kaskazini mwa nchi hiyo katika Mji wa Kiremba.


Katika mchezo huo uliowajumuisha wakimbizi wa kutoka Congo ambao hawakufahamu kama Rais Nkurunziza pia ni miongoni mwa mchezaji.

Mara nyingi Rais Nkurunzizaanapocheza katika michezo ya kirafiki wapinzani wake humpatia nafasi ya upendeleo na kumuache atawale na hata kufunga magoli lakini katika mchezo huo haikuwa hivyo

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post