Spika ndugai aichana makavu serikali...

humph the GREAT
Spika wa Bunge Job Ndugai ameieleza Serikali kwamba inaenda kulifikisha taifa mahali pagumu sana kwa kushindwa kumaliza tatizo la ongezeko la bei ya mafuta ya kula nchini na wakati huo amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage kuja na majibu ya tatizo hilo Bungeni haraka iwezekanavyo.

Kauli hiyo ya Spika imekuja baada ya Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe aliyetaka kupata majibu ya Serikali kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta hayo ambapo W8aziri Charles Mwijage  alimjibu kwamba jambo hilo linashugulikiwa ingawa kwa sasa kuna mvutano umeibuka baada ya meli mbili zenye mafuta kuzuiwa bandarini. 
Ndugai akiongea kwa jazba

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post