humph the GREAT
Kagere kuanzia sas akifunga goli lolote anakuwa kinara wa magoli Africa kwa duniani atakuwa wa pili baada ya Messi mwenye magoli 50 maan yule nae sijui mchawi hvy Kagere msimu ujao ataenda Barcelona kuchuna na Messi
Kagere ambaye baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari baada ya kuifungia timu yake magoli 2-0 dhidi ya ndanda ikiwa ndio mchezo ambao umemuweka kileleni kuwa ndiyo mchezaji anaeongoza kwa magoli kwa kuifungia timu yake magoli 22 dhidi yamichezo 34 ya Ligi kuu Nchini Tanzania,
"...unajua mimi nikiwa uwanjani huwa najichallenge mwenyewe kwani naujua uwezo wangu hivyo matokeo yangu ni kutokana na kujituma kwangu mara nyingi huwa siangalii nani ana magoli mengi au nani ana magoli machache bali kujitahidi kila ninapo pata nafasi ya kuifungia timu yangu najitahidi kufanya hivyo kila inapobidi..." Alisema Kagere.
kagere anaichezea Simba sports club kwa mara ya kwanza na msimu wake huu unaelekea unamuendea vizuri kwani rekodi hii kwa mara ya mwisho ni miaka 10 iliyopita, na inasadikika kagere ni mchezaji pekee wa ligi kuu anaepokea mshahara mrefu Tanzania na ameridhihilisha hilo mara kadhaa anapokutana na wapinzani na kuondoka akiw na ushindi baada ya mchezo kuisha.
Tags
Michezo na burudani