humph the GREAT
Mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, @lengai_ole_sabaya, amekabidhi mifuko ya Saruji 200, Nondo tani moja, pamoja na Kokoto kwa ajili ya kusaidia upanuzi wa kituo Kikuu cha Polisi Wilayani humo.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo, Ole Sabaya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya hiyo, ametoa onyo kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha linatumia vizuri vifaa hivyo, pamoja na kutoa huduma kwa Wananchi bila upendeleo

Tags
HABARI