Simba ni klabu kubwa sana sio tu Tanzania bali Afrika nzima, angalia tukicheza mikoani au jana tulivyopokelewa Dar es Salaam! #MoSimbaAwards2019
Klabu hii ina mila na desturi zake, klabu hii ipo katika mioyo ya Watanzania wengi kuliko vile tunavyodhani. Vuta picha Simba ikienda mikoani katika viwanja vyote namna inavyopata mapokezi na kujaza viwanja, au iangalie sura ya mji wetu wa DSM ilivyokuwa jana wakati tuliporudi na kombe kutoka
Morogoro. #MoSimbaAwards2019
0 Comments