humph the GREAT
Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa
Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa
Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta
Pia, ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na
nafasi yake imechukuliwa na Kenan Kihongosi aliyekuwa Mwenyekiti wa
UVCCM Iringa
Aidha, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. Maulid
Madeni na kumteua Dkt. John Pima kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri.
0 Comments