Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

mange kimambi awahusia kina dada

 

 "Jamani amkeniiiiiiiiiiii , mtoto wa Dada wa Taifa kaanza chuo kikuu, tena sio chuo cha kitoto ni chuo one of the best in UK and in the world. OMG guys, my first born child is officially a Durham University Student. She had her matriculation yesterday. 

"Uwiiiiiiiii naombeni muamke tena, ikiwezekana leo msilale tu jamani. Mjue mwanangu ndo alisaini kitabu cha matriculation kwa niaba ya wanafunzi wooote wapya wa hatsfield college. Uwiiii uwiiii jamani tumbo la uzazi linaniuma kwa furaha leo.

Nyie nyie nyie, kumbe mwenzenu nilizaa haswaaa. Jamani msiwe mnatoa mimba. Mtoto nilizaa kwenye mazingira magumu huyu, Mungu ndo anajua. Oneni leo kawa mtu katika watu. Je ningekunywa P2?" Ameandika Mange ambaye Ni mmoja wa watu wenye ushawishi mitandaoni.

 

humph the GREAT

Post a Comment

0 Comments