Matina Agawua kutoka nchini Nigeria amefanya mahojiano na gazeti la The Nation la nchini humo na kuelezea sababu za kuamua kulala na mwanaye wa kumzaa aliyempata kutoka kwenye ndoa yake iliyopita ili apate mtoto kwaajili ya mume wake wa sasa (Pichani)
Matina anasema baada ya kifo cha mumewe wa kwanza aliingia kwenye ndoa nyingine lakini imekuwa ngumu kupata mtoto kwa miaka 6 aliyoishi na mume wake wa sasa aitwaye James.
Upande wa Wakwe zake walionesha kumkataa kwakuwa hazai huku report ya daktari ikionesha kuwa yeye hana tatizo, alipomshinikiza mumewe James kwenda kufany vipimo kwa daktari hakuchukulia serious hivyo akahisi tatizo liko kwa mumewe.
Baada ya kupata taarifa kuwa wakwe wanamshinikiza James aoe mke wa pili, Matina aliamua kumshawishi mtoto wake mwenye miaka 16 ambaye ni mwanafunzi wa shule ya Akwanga, ambaye anaishi kwa ndugu zake,
Marina anasema mwanzoni ilikuwa ngumu kulala na mtoto wake wa kumzaa lakini kutokana na matatizo ya ndoa yake ikamlazimu alale na mwanaye ili kupima kizazi chake, na kwakuwa anampenda mume sana wake alifanya kila alichofanya ili asimpoteze.
"Nilijaribu kumtembelea mwanangu huko Akwanga mara nyingi nilipokuwa kwenye kipindi cha ovulation.
"Siku moja nilipokuwa kwenye kipindi cha ovulation, nilimtembelea. Ilikuwa yapata saa 11 jioni. Nilimshika mkono na kumfanya aketi pembeni yangu.
“Nilimuuliza kama aliwahi kuwa kufanya mapenzi akasema hapana. Nilimshika mikononi mwangu. Wakati huu, nilihisi joto na nadhani yeye pia alihisi"
Baada ya usiku huo, nilijisikia aibu sana, na kuwa na hatia kwamba nilifanya chukizo kama hilo na mwanangu mwenyewe"
“Kwa kweli ilikuwa ni mwiko, lakini nilimuonya kuwa siri" Alisema Matina
Baada ya James kugundua alipata hasira na kusema kuwa hawezi kuupokea ujauzito ambao sio wake.
Cc The Nation
maajabu ya dunia
0 Comments