​Nyota wa soka wa zamani wa Nigeria, Taribo West sasa ni Pastor akihubiri Injili na kuelezea kufanya miujiza. West ambaye amewahi kukipiga katika Klabu za Inter Milan, Derby County, AC Milan na Auxerre ni mmiliki wa Kanisa la Shelter In The Storm Miracle Ministries of All Nation.
0 Comments