​chanzo. Jamii forum
ELIMU: Chuo Kikuu cha St. Augustine kimebatilisha Shahada ilizotoa kwa Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo Kikuu cha #Afya na Sayansi Shirikishi cha St. Francis (#SFUCHAS) kuanzia Mwaka 2015-2019
Taarifa kutoka Chuoni hapo zinadai Madaktari hao wamegoma kurejesha Nyaraka za Matokeo (Transcripts) ambazo walipewa bila Baraza la seneti la Chuo kuwa na taarifa na kuziidhinisha
Soma https://jamii.app/DegreeZafutwa
#Governance
0 Comments