PICHA Zinazo onyesha Athari za mvua zinazo endelea jijini Dar es Salaam

Tokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam, zimepelekea uharibufu wa barabara na mazingira.





Haya ni maeneo ya jiji la Dar es Salaam yaliyoathirika na mvua inayoendelea kunyesha na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi hasa wanaoishi bondeni au kwenye mkondo wa maji hasa hasa kwenye mito.












Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post