Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua Mrs Diamond Wema Sepetu amedaiwa kujiandaa na safari ya kuelekea Maarekani akimsindikiza mumewe Diamond.
paparazi imezinasa hizo za moto moto toka kwa mtu wa karibu na Wema zikisema"Wivu mbaya sana Wema anaondoka na Diamond Marekani hiyo inatokana na kumlinda Diamond anaesubiriwa kwa hamu na maelfu ya watanzania waishio nchini huk" Alisema mtu huyo
Wema alitafutwa kupitia simu yake ya mkononi kwa ajili ya kupata ukweli wa mambo lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana hadi tunaruka hewani hivi
0 Comments