WATAALAM WA UREMBO WANAKWAMBIA HUYU NDIYE BINT MDOGO MWENYE SHEPU YA HATARI HAPA BONGO
habayloveHabay all info-
0
Anaitwa Diana Kimario ni rafiki kipenzi wa Lulu Michael, kwa wataalam wa urembo wanakwambia huyu ndiyo binti mdogo na mwenye shepu ya hatari ndani ya bongo Bongo Movies.