humphrey the GREAT
.jpg)
.jpg)
Mwanaume
huyu anayeitwa Pela Tonye Okiemute ni maarufu sana huku Nigeria kwa
kazi yake anayoifanya ya kutengeneza Mikorogo ya kujichubua ngozi hasa
kwa wanawake , Wenyewe wanamwita "King of Beauty", Wateja wake wakubwa
ni Wasanii wakubwa na Wanawake wanaojiita
Socialite kama kina Agness Masogange na Vera Sidika, yeye mwenyewe amejichubua vya kutosha kiasi kwamba kama ulikuwa unamjua zamani kwa sasa uwezi kumtambua , Pale Ameshare picha zake alivyokuwa zamani ujionee jinsi mkorogo ulivyombadilisha:

Despite
serious backlash online against skin bleaching and lightening, based on
the comments and testimonials on his instagram page @pelsinternational,
it is obvious that there is a long list of potential clients who want
the same skin results.

Kazi kwenu wabongo mnaopenda urembooooo!!!
Tags
UREMBO