FLORA MBASHA: "Nipo tayari kurudiana na mume wangu"

humphrey the GREAT


Muimbaji wa muziki wa injili, florah mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake emmanuel mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia mguuni na kumuomba msamaha. frola aliyasema hayo baada ya kufuatwa na chanzo chetu huku akisisitiza kuwa bado anamhitaji mumewe kwa sasa,

aliyasema hayo baada ya kutoaka tuu kwenye chumba cha kutolea ushahidi juu ya kesi ya mumewe inayomkabili mume wake ambayo inasikilizwa mahakama ya wilaya ya ilala.

"Mbasha nimeshamsamehe siku nyingi na nipo tayari kuishi naye iwapo atakuja kuniangukia miguuni na kuniomba msamaha..lakini hili la ubakaji ni suala la mahakama" Alisema Flola.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post