Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Kalala Ammbwaga muna, anasa kifaa kingine

humph the GREAT

kalala (2)
Mwanamuziki Kalala Hamza ‘Junior’ na  Mamy Mushi.
NA IMELDA MTEMA, Ijumaa
DAR ES SALAAM: Habari ‘hot’ iliyotua kwenye meza ya gazeti hili inadai kuwa lile penzi lililokuwa gumzo mjini kati ya Mwanamuziki Kalala Hamza ‘Junior’ na msanii wa filamu za Kibongo, Rose Alphonce ‘Muna Love’ limevunjika na sasa jamaa huyo amehamishia majeshi kwa mwigizaji aitwaye Mamy Mushi.
kalala (3) 
 Kalala ambaye kwa sasa anapiga mzigo kwenye Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ hakupatikana kuzungumzia penzi lake jipya ila Mamy alipozungumza na Ijumaa alikiri kumrithi Muna: “Penzi letu wala siyo la kificho, Muna na Kalala ilikuwa zamani, sasa ni zamu yangu.