Nani Zaidi? Sikinde na Msondo, Idd Mosi Ndani ya Dar Live

humph the GREAT
 global web

Ni shoo kali itakayo washirikisha wakari wa michiliki taarabu na visingeli kwa ajili ya mkesha wa eid, ewe mkazi wa dar es salaam kuwa wa kwanza kuushuhudia mtanange huu utakaofanyika pale mbagala rangi tatu ndani ya ukumbuki wenye kila sifa za starehe jiji dar es salaam DAR LIVE, kwa kiingilio cha tsh 7000 tuu utashudia mtanange mpka kunakucha na huku ukiendelea kuburudika kwa vinjwaji maalumu kwa ajili ya siku hiyo..

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post