humph the GREAT
May 28, 2017 siku moja baada ya Simba SC kutwaa Azam Sport Federation Cup ikiifunga Mboa FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma, klabu hiyo ilipokea taarifa mbaya ya ajali ya gari iliyokuwa na shabiki wake Shose Fidelis na Nahodha Jonas Mkude.

Shose ambaye ni mmoja kati ya mashabiki wa kike wa Simba SC alipoteza maisha kwenye ajali hiyo ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kutoka Dodoma huku nahodha Jonas Mkude na wengine wakijeruhiwa ambapo mwili wake umeagwa katika Hospitali ya
Mwananyamala kabla ya kupelekwa Magomeni kwenye Kanisa la Roma.

VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera

Tags
Michezo na burudani