ZARI AFUNGUKA KISA CHA IVAN KUFA NA JINSI YEYE KUTANA NA IVANI

humph the GREAT
  
Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi wa mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com Kampala Uganda na kueleza mengi kuhusu msiba wa Mpenzi wake wa zamani ambaye pia ni mzazi mwenzie aitwae Ivan.

Kwenye hii video hapa chini Zari amejibu maswali mbalimbali ikiwemo ishu ya mtoto wa nje alietajwa msibani, sumu kutajwa kumuua Ivan, Watanzania ambao hawakupost au kumpa pole Zari na mengine mengi, play kwenye hii video hapa chini
https://youtu.be/Hrlr8ZmJB_o?t=348 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post