Dodoma: mtu mzima alia kisa kuonekana kwenye camera

humph the GREAT
Kuna maajabu mengi tuniani ambayo huenda mengine umeshawahi kutana nayo na mengine bado hujakutana Mayo, mfano kuna baadhi ya watu wanalilia na wanatamani sana wanapowaona ndugu zao wanakaa nije ya nchi basis na wao wanatamani hats siku moja kusafiri na moja Kati ya ndugu zao hao angalau na wao wakasafishe macho nchi za nije licha ya kutoa ushamba kwa kutumia usafiri was anga,  lakini pia kuna vijana wanaotoa machozi ka baada ya kuona wadogo, wakubwa au ndugu zao wakifanya vizuri kwenye tasnia yeyote ile na kupendwa na watu kiasi kwamba anatamani kama Kule kupendwa angependwa yeye,  lakini ukiacha mambo yote hayo ya maendeleo kuna baadhi wapo kinyume
            Kijana mmoja ambaye alitoa machozi baada ya kuona tuu camera akidai hajawahi hats kupiga picha hivyo kutaka kuonekana,  kijana huyo alilifanya tukio hilo kuwafanyia waandishi wa habari ambao walikuwa katika shughuli zao za kila siku na kudai anataka kwenye moja ya picha ambayo walikjwa wanaichukua waandishi hao wamuoneshe na yeye.

Angalia hili video ucheke..
Alilia kuonekana kwenye tv

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post