humph the GREAT
Ni siku chache zimepita toka msanii Diamond Platnumz kudaiwa kutoka kimapenzi na wasichana wengine tofauti na mama watoto wake Zari the bosslady.
Inasemekana kuwa Diamond Platnumzhupeleka wasichana tofautitofauti nyumbani kwake Madale, kutokana na tetesi zilizokuwa zikiendelea kwenye mitandao ya kijamii ikaonekana Zari kukasirishwa na tabia hiyo.
Hivyo kupitia instagram account ya Zariameonekana kumu’unfollow baba watoto wake Diamond Platnumz, kitu hiki kimeleta maswali mengi kwa baadhi ya mashabiki na wengi kuhusisha ukaribu uliotokea kati ya Wema Sepetu na Diamond siku ya uzinduzi wa kutambulisha rasmi Marombosso WCB
Tags
Udaku