SIMBA 🦁 @diamondplatnumz 🇹🇿 Amekabidhiwa Jezi Na Timu Kubwa Duniani 🌍 @washingtonnfl Ya (American Football) 🏈 🇺🇲
#Diamond Amekabidhiwa Jezi Hiyo Iliyoandikwa "PLATNUMZ" Pamoja na Namba 99 Mgongoni Ikiwa Ni Ishara Ya Kuthaminiwa na Timu Hiyo Kubwa Duniani
Kupitia Ukurasa Wao Wa Instagram #Washingtonnfl Wamethibitisha Hilo Kwa Kum-Post SIMBA, Kisha Kusindikiza Ujumbe Mzito Uliosomeka
"@diamondplatnumz repping the Burgundy & Gold 🔥" - Washington NFL
Timu Hii Ya #Washingtonnfl Inashikilia Nafasi Ya Pili (2) Kwenye Ligi Ya Mpira Wa Marekani 🏈
#Diamond Kwa Sasa Yupo Nchini Humo Kwa Ajili Ya Tour Yake (#diamondplatnumzusatour2021) Ambapo Anatarajia Kwenda Ku-Perform (🇺🇸 Minnepolis Oct 15, Ijumaa, Denver Oct 16, Jumamosi )
#ThisIsAfrica #AfricaIsWatching #WasafiDigital