humph the GREAT

Msanii @mo_musictz Ametaja Wasanii Ambao Yeye Anawajua Kwenye Game Ya Bongo Fleva Hawatumii Pombe Kabisa, Kwenye #Refresh Ya Wasafi TV Mo Ameyasema Hayo Huku Akitaja Wasanii Watatu Tu Ambao Ni #KalaJeremiah #NayWaMitego Pamoja Na #GNako .
-
-
Vipi Kuhusu Wewe Wasanii Gani Unahisi Amewaacha Kwenye List Ya Wasanii Ambao Hawanywi Pombe
#wasafitv