humph the GREAT

Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa wageni waliohudhuria harusi huyo ni pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk. Tulia Ackson.
Masanja akimvisha pete mke wake.
Mke wa Masanja aitwaye Monica.
Gari la maharusi likiwasili kanisani.
Dk. Tulia Ackson naye alikuwepo.
MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja
Mkandamizaji’, leo ameuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mchumba wake wa
muda mrefu aitwaye Monica.Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa wageni waliohudhuria harusi huyo ni pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk. Tulia Ackson.
Tags
Burudani