humph the GREAT
Mshambuliaji wa zamani wa kikosi cha Simba Emmanuel Okwi ambaye jana amerejea rasmi katika kikosi hicho baada ya kusaini mkataba wa kuitumikia Simba amefunguka na kusema amekuja kupambana kuhakikisha kuwa Simba inapata ubingwa na kufanya vizuri.
Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akiwa na moja ya kiongozi wa Simba Moo Dewji.

Okwi
anasema amefurahi sana kurudi katika timu yake hiyo ya zamani ikiwa
chini ya viongozi wapya ambao ambao wanaonekana na njaa ya timu yao
kufanya vizuri zaidi hivyo ameahidi kushirikiana nao na kuhakikisha timu
hiyo inafanya vyema.
Tags
Michezo na burudani