Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Penzi la shemeji sehemu ya 07

humph the GREAT
Ilipoishia
"safi tuu, kumbe unajua kuimba jamani" aliniuliza akitabasamu na tabasamu lake l lililojaaa uangavu na meno meupe mno mithili ya theruji
"aaah mbona kidogo tuu jaman" nilimjibu
"sasa habay..." aliniita akinishika mkono
"eenhe nambie mamaa" nilimjibu na mimi nikimshika vizuri mkono.

SONGANAYO


Basi wakati sherehe inaendelea nilipata muda wa kukutana na ndugu, jamaa, rafiki na majirani wa karibu wa familia yetu ambao walikuwa wamehudhuria sherehe yangu hiyo na baadhi nilikuwa na wafahamu kwani tulishawahi kukutana nao na wengine pia nilikuwa siwafahamu nilipata bahati ya kutambulishwa na wengine ambao niliona muda hautoshi tulibadilishana namba za simu ili kupita mambo mengine yaweze kuendeleana huku tukipeana muda kwamba tutawasiliana mida tutakayo kuwa na muda wa kufanya hivyo, kuna muda ulifika baadhi ya wazee waliaga kwenda kupumzika lakini baadhi ya wazee na vijana ambao tuliendelea kuparty, vinywaji chakula na muziki uliendelea...

"oya vip mbona umekaa peke yako hapa?" nilisikia sauti ya kike ikitokea nyuma
"aah huko ndani nmeona wageni wengi so kutakuwa hakuna utulivu sana nikaona nikae tu hapa mpaka pombe zipungue kidogo nitaenda kulala ndani" nilijibu huku nikiwa na shauku ya kuju ni nani anaeniongelesha mida hii 
"ooh lakini sio pow, unaweza ukatafuta tu chumba ambacho kipo free na ukakaa lakini sio kukaa hapa chini peke yako" aliongea huku akikaa pembeni yangu wote tukiyatazama maji kwenye swimming pool na ndipo nilipogundua ni haapy mtoto wa jirani yetu
"mmh kumbe ni wewe"
"ndio kwani vipi"
"alafu wewe si haukowepo wewe umerudi lini?"
"aaah mi nimerudi leo huwezi amini"
"nmmh karibu, vipi nyumbani wazima?"
"hata sijafika aisee mbona sijafika muda mrefu sana nimeingia hapa kitu kama saa nne hivi usiku"
"alaa!, alafu mzee wako nilimuona mida fulani, sema nilikuwa bizebize na kasherehe so sikuweza kumfuatilia na kujua ameelekea wapi" nilimjibu huku akinimiminia kinywaji ambacho ametoka nacho ndani baada ya kuona mi changu kimeelekea kuisha

"mmh wewe umeweka nini humu?" niliuliza baada ya kuona ladha ya kinywaji sio ladha asilia niliyoizoea
"kwanini?"
"hiki kinywaji hii sio ladha yake so lazima utakuwa umechanganya" 
"eeh kumbe wewe ni mzoefu wa pombe eeh?"
"hapana sema mara nyingi huwa nashiriki kwenye sherehe kama hizi so huwa napatapata vinywaji so ndo napatia huko uzoefu aisee"
"wewe unafikiri utaniambiaje, lazima ujitetee tuu"
"hahahah hamna bwana, ila wewe ndo inaelekea ndo mzoefu aisee kwa sababu umeona kunywa chenyewe ukaona hautalew na ninavyojua raha ya pombe ni kulew so unataka upate stata nzuri aisee"
"alafu ungejua mi tokea nimeanza kunywa pombe hata mwaka sidhani kama umepita, si unajua wazazi walokole wale so muda wote nipo ndani mara kanisani mara wapi hata muda wa kwenda club sina"
"mmh asa kumbe umejifunzia wapi kunywa pombe?"
"aaah kwanza naishukuru familia yenu kwani nisingeenda chuo bila moyo wa kaka yako Godlove, amenisaidia sana manake nilikuwa sijui hata naanzia wapi na chuo ilivyokuwa gharama hata nilikuwa sijielewi kabisa ayaani, unajua kuchanganyikiwa?"
"aah hata usijali mbona hayo mambo madogo tuu"
"oky so unasoma wapi na unasomea nini?" nilimuuliza huku tukiendelea kubadilishana maongezi ya hapa na pale
"aah asa hivi nipo mwaka wa pili nasomea education"
"aaah hongeara, upo tofauti na mimi manake tulishagombana hadi na Baba kisa uwalimu nilivyokuw siupendi yaani"
"aah mimi niliona sina jinsi na ni mtoto wa kike alafu nikiwa bila kazi daah nikajua itanicost sana so ikanibidi tuu niendelee tuu"
"oky sawa kazi ni kazi ili mradi mkono unaenda kinywani"

Tulipiga stori kwa muda kidogo kama masaa mawili au zaidi hivi mpaka pombe zilianza kutupanda kichwani

"haaaa! wewe mbna unavua nguo vipi" nilimuuliza happy baada ya kumuona anatoa t shirt alilokuwa amevaa na akabaki na sidiria sijui ndo nini ile inayozuia maziwa
"aaah wewe habay kwani hili joto hulioni jamaa angu vipi"
"sasa kama joto hebu twende pale kwenye kibwawa kidogo tukaoge basi"
"wapi tena wakati bwawa kubwa hili hapa mi nataka hata nijimwagie maji kidogo aisee kama joto linanizidia vile"
"wewe sio joto linakuzidia sema pombe imekuzidia"
"aaah wapi ngoja nimalizie na hii ili ujue kwamba mimi kwenye pombe sio wa mchezomchezo"
"wwe mwanamke unataka unipe mimi kesi hebu twende kule kwanza ukaimwagie maji" nilimnyang'anya ile chupa ya pombe maana alionekana kidogo kulewa japo alikuwa anajielewa kwa kila analolifanya
"hahahah mmh haya sawa wewe si mwanaume bwana"
"kwa hiyo kama mwanaume"
"unatumia ubabe tuu hujui kama unaniumiza"

Tulitembea kidogo tuu hadi kufika pale lilipokuwa bwawa dogo kwani halikuwa mbali sana na tulipokuwa tumekaa sisi wakati wote tunapiga stori, baada ya kufika kwenye bwawa dogo mi nilivua t shirt na yeye akavua suruali akabaki na boxer tuu na tukaingia kwenye maji kidogo yalikuwa yabaridi na sisi lengo letu ni kutoa hangover basi tuliingia tukaoga na baada ya muda kidogo pombe zilikuwa zimeanza kupungua na tukaendelea na kupiga stori.

"Hivi kwani asa hivi saa ngapi habay?" aliniuliza Happy
"mmh ngoja nicheki kwenye simu" nilimjibu na kunyanyuka kutoka bwawani na kuelekea ambapo tulikuwa tumeweka simu
"mmmh aloo muda umeenda hatari" nilimjibu baada ya kuishika simu na kuangalia muda
"saa ngapi mi sijakuuliza kama muda umeenda au laah"
"ni saa nane na dakika 23"
"mamaaaa!! ama kweli hii ni birthday ya boss, ujue sijawahi kukesha kama leo tangu nizaliwe"
"aaah acha masiala ina maana wewe kwenye mikisha ya maombi ambayo wazazi wako huwa wanaenda huwa huendi?"
"muulize mama kama nishawahi kukesha mimi, thubutu yake" aliongea huku akiwa anatoka kwenye maji, hapo japo kulikuwa na kigizagiza fulani lakini niliweza kubahatika kuliona umbo la happy, ni msichana mweupe sana na amepanda kidogo hewani na mwenye shepu ya kupendelewa na mwenyezi mungu wake kiukweli kaumbika hatari sana, sikushangaa sana kwani nilishazoea mambo yakukutana na wanawake wenye mashepu yao hivo niliona kama kawaida hivi..

"achana na hizo mambo hebu twende ndani basi" nilimwambia wakati nikichukua nguo zangu kuelekea ndani
"sawa ndani tunaenda kwani mi nimekataa jamani?" alisema huku akiyumbayumba kidogo nafikiri ilikuwa ni kwa sababu ya uchovu huenda kukaa kwenye maji muda mrefu nako hajazoea
"aya twende"

 Tulitembea hadi kufika lango kuu la kuingilia nyumba kubwa nikamwacha na kumuaga,

"Sasa unasikia mimi naenda kulala nyumba ile pale, ambayo mara nyingi huwa naitumia mimi ile pembeni kigodo chumba cha juu ndo nalala mimi"
"chumba cha juu? kwani ina vyumba vingapi?"
"aah chini ndio vipo vingi lakini upande wajuu vipo vitatu tuu pamoja na sebule vinakuwa vinne na hivyo vingine huwa havitumiki"
"aaah basi sawa tutaonana kesho asubuhi"
"sio kesho sema baadae"
"aaah si unajua kujivuruga baba"

Basi tuliagana pale na Happy huku yeye akiingia ndani nyumba kubwa ambayo ndiko wageni wengi walikuwapo na mimi nikielekea kwangu, nyumba ambayo ipo pembeni kidogo na ile nyumba kubwa nikAEnda zangu kulala, baada ya kufika ndani kwangu ilibidi niingie bafuni nijikaushe kidogo kwani kule nje nilijimwagia tuu maji sikuoga vizuri so ilinibidi nijiogeshe vizuri na kujipukuta maji safi na kubaki nikiwa safi, kwa kuwa nilijua kule niko peke yangu nilitoka tuu nikiwa sina nguo nikatoka bafuni kama nilivyo zaliwa nikiwa nimeshika taulo huku naendelea kujifutafuta maji mpaka nikafika karibu na kitandani, baada ya kumaliza tuu kujifuta maji nikawa kwenye kioo changu kikubwa kilicho kabatini karibu na kitanda nikiendelea kujipaka mafuta na kufanya mambo mengine ya kijinga kama unavyojua ukiwa peke yako nyumbani alafu upo uchi na upo mbele ya kioo, lakini bila kutegemea ghafra tuu nikakuta mtu anaingia chumbani kwangu kwani sikufunga mlango na ikawa rahisi kwake yeye kuingua bila kuhangaika hata kugonga..

"haaaa!" niliongea huku nikiwa nimebaki nimeduwaa kabla sijajua nini cha kufanya kwani nilishangaa sana kumuona happy akiwa mlangoni akitolea macho kile anachokiona
"mamaa! samahani habay" alisema huku akiingia nakujifunika macho kwa mikono yake
"Unazingua sana mamy"
"Samahani habay mi sikujua kama nitakukuta ukiwa hivyo jamani"
"Hasa unaziba macho ya nini wakati umeshanikodolea macho tayari" nilisema kwa hasira nikimtoa mikono ambayo alikuwa amejiziba machoni
"Kwa hiyo umemaindi?"
"Saana tuu tena sio kidogo"
"Sasa subiri, mbona unaona kama mwili wako una thamani sana et?" alisema huku akiweka begi la mgongoni pembeni kidogo na kitanda na kutoa mtandio aliokuwa amejifunika na kubaki hana kitu juu lakini chini alikuwa na boxer ambayo kwa haraka haraka ni ile ambayo niliiona muda tunaoga kule nje...
"ndo nini hivyo" nilimshangaa kwani sikujua nini anamainisha kufanya vile
"aaah huoni eeh" akaelekea ilipo switch na kuibonyeza ndipo mwangaza hafifu wa blue ukatoka ukaja mwanga mkali mweupe ambao sasa uliniwezesha kuona vizuri..
"bado sijakuelewa"
"Utaelewa tuu" alisema huku akimalizia kuitoa ile boxer aliyokuwa ameivaa kwa hasira na mimi nikajua kabisa kwamba anafanya vile kwa sababu ya mimi kumuonesha hasira kwa kuingia chumbani kwangu bila ya kupiga hodi
"Umelidhika ??" aliniuliza huku akinikodolea macho..

.....itaendelea...

Post a Comment

0 Comments